Uzuri wa jipu likiiva na kukamuliwa tu kwisha kazi siku hiyo utalala usingizi mtamuuu na baada ya siku kadhaa kidonda kishakauka. Ila siku mbili tatu kabla halijaiva ni kamuziki safi kwa kweli. Pole aisee!
Eti Ewaaaa! Kazi kusifia wenzio tu we za kwako hutaki kuweka hata moja watu wakakata kiu. Watu wamefanya kila njia mpaka wengine wameapa kuondoka JF jumla ukiselfika lakini wapi. Unavyotufanyia siyo vizuri Mama Mchungaji