Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni jipu, sema la tako huwezi lipiga picha, unaweza kuta tako limepaukaaa hapa nachart kidogo huku kujipoza maumivu.. hadi nipitiwe na usingiz.. nilikishika hivi bado bado

Hilo jipu linaweza kuwa la mchongo HM..Binafsi namshukuru Mungu hiyo kitu haijawahi nipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi,
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante

Najiuliza, Nikulipe nini, kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi, siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa,
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa.
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini?

Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x5)

Nachojuaga, huwa unaongezaga
Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru
Nachojuaga, huwa unaongeza, zaidi.
Sikushukuru tu kwa haya uliyotenda,
Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda
Huku nikiamini, Shukrani ni sauti ya imani

Fedha (Haitoshi kukushukuru)
Dhahabu (Haitoshi kukushukuru)
Ee Baba
Nikulipe nini, nikulipe nini

Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x2).

Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE (×4)View attachment 2054922
Ni wimbo mzuri sana Mama Mchungaji. Asante kwa kutushirikisha
 

Attachments

Wee aliwahi umwa dada angu tena yeye lilikaa kweny paja, alifanya hivyo alivokua analia had tulikua tunamuonea huruma.
Asubuh alivoamka alikuta ndo limeiva, akapaka dawa ingne ya mitishamba jion yake lilijitumbua lenyewe.
kumbe shida kuvuta!? nimeshampa angalizo kuhusu hilo na ndio utendaji kazi wa hiyo dawa..
 
Back
Top Bottom