Nimekuelewa..Sorry km nimekukwaza lkn.No hard feelings.
I don't care vyovyote vile mtu akiwa vile ndy maana sijawahi kuingia mgigoro wala majibizano ya Aina ile maana ni maisha aliyoyachagua
Iso bwana!,nilimzingua j2.
J2 alinitafuta eti tuende kunywa,nikamwambia naumwa..akasema nisimtanie kabisa,hata yeye yupo ana dose ya sindano na anakunywa
Iso bwana!,nilimzingua j2.
J2 alinitafuta eti tuende kunywa,nikamwambia naumwa..akasema nisimtanie kabisa,hata yeye yupo ana dose ya sindano na anakunywa