Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Picha kama hizi muwe mnatolea ilani pale chini kwanba 'Don't try this,it is only for professional experts"
Picha kama hizi muwe mnatolea ilani pale chini kwanba 'Don't try this,it is only for professional experts"
Namlisha bi mkubwa zege.
Azuma tena! Whats wrong tena?Nataka nimeze azuma sasa.
Jiandae kunibembeleza kula ili nimeze dosage siku 3.
Nakuja...usimalize
Azithromycin Nilipewa hizo nilipoenda hospAzuma tena! Whats wrong tena?

Napenda ila yai likaangiwe pembeni na liwe na kitunguu. Ikiwa na pepsi ya baridi mambo yanakuwa fresh sana
Ukija nakuandalia la kwako,la moto moto.Nakuja...usimalize
Ukija nakuandalia la kwako,la moto moto.
thnksKama nilivyokula mchanaNapenda ila yai likaangiwe pembeni na liwe na kitunguu. Ikiwa na pepsi ya baridi mambo yanakuwa fresh sana
Uje sasathnks
Wa kishua.Umeona eeh! nachovya kwenye mambo yetuuu yalee watu wa dar es salaaamView attachment 2054866
Watu wa matukio utawajua tu.. hii Azuma inaokoa sana watu wakorofi 😂😂😂Azuma tena! Whats wrong tena?
Ok.. Ugua poleAzithromycin Nilipewa hizo nilipoenda hosp
Inasaidia kupambana na haka kahoma
Ukija ndio tunaendeleza nilipoishia.Ok.. Ugua pole
Saint Anne hajaanza hii michezo😀Watu wa matukio utawajua tu.. hii Azuma inaokoa sana watu wakorofi 😂😂😂
Nashushia sasa na spice black tea 😂😂.. nikitoka hapa naenda zangu kulala miyeeWa kishua.
Wengine tukienda kula huko,inabidi tukashindilie tena ugali nyumbani.
Kuna chupa za pombe jinsi zilivyo nzuri zinanipa imani kwamba na mimi naweza kunywa.View attachment 2054888
Hii holiday anakufa mtu