Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Anhaa nimejua kwanini ulimuacha JP [emoji16][emoji16][emoji8]
Nafsi yangu inakufurahia wangu wa moyoni .
Unajua vile nakupenda mno..
Hakika Mungu ni mwema kwetu[emoji173]...
Hivi Unajua mama mtumishi hachoki kumuangalia gentleman wake?