Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana. Kachome J&J
Wakubwa wameipiga chini J & J mkuu.

Screenshot_20211223-091644_Chrome.jpg
Screenshot_20211223-091809_Chrome.jpg
 

Nafsi yangu inakufurahia wangu wa moyoni .
Unajua vile nakupenda mno..
Hakika Mungu ni mwema kwetu...
Can somebody shout AMEN?
Hivi Unajua mama mtumishi hachoki kumuangalia gentleman wake?
Hopeful Mataga hawakuniona 🤣🤣

Itoshe tu kusema;-

Kama yungiyungi kati ya michongoma,
Ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wasichana.
Nafurahia kuketi chini ya kivuli chake,
Na tunda lake (Sio kimasihara 🤣🤣) tamu sana kwangu.
 
Can somebody shout AMEN?

Hopeful Mataga hawakuniona

Itoshe tu kusema;-
Hivi ni baharia gani aliandika Wimbo Ulio Bora? Ni Sulemani ama? Alishusha nondo za kufa mtu na wakati tukiwa vijana enzi zetu hakuna simu bado tunatuma barua za maua maua na vimishale usingekosa mafungu kutoka katika kitabu hiki. Nasikia kulikuwa na mzozo mkubwa wa kukikubali kama sehemu ya Biblia na kiliingizwa kwa mbinde tu...
Screenshot_20211223-093133_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
 
Hivi ni baharia gani aliandika Wimbo Ulio Bora? Ni Sulemani ama? Alishusha nondo za kufa mtu na wakati tukiwa vijana enzi zetu hakuna simu bado tunatuma barua za maua maua na vimishale usingekosa mafungu kutoka katika kitabu hiki. Nasikia kulikuwa na mzozo mkubwa wa kukikubali kama sehemu ya Biblia na kiliingizwa kwa mbinde tu...
View attachment 2054800
Mkuu huyo jamaa aliyeandika nadhani ni moja kati ya wanafasihi bora sana kuwahi kutokea.

Pengine ni Suleiman? maana sometimes unaitwaga Songs of Solomon.
nikamshika wala sikumwachia aondoke,
hadi nilipompeleka nyumbani kwa mama yangu,
hadi chumbani kwake yule aliyenizaa.
🤣🤣 Aisee jamaa alikua mkali
 
nimecheka hadi kupaliwa, sijui hata mnawazaga nn yaan.

Mwingne jana katoa povu kuwa kuna I'd 10 alidhani n pisi kali kumbe n wife materials, utadhan yeye nn pasi kali kumbe husband Materials.

Jf never boring.
Unajua nimekuuliza hivyo Kwa sababu sijawahi kuona picha zako nadhani napishana nazo au unazifuta

Alafu niseme Tu ukweli,kingine kilichonifanya nimekuuliza ni kwamba sikuwahi kudhani km wewe ni wa kike maana maana Aina ya michango yako hapa Jf imekaa kimlengo fulani wa 'mwanaume aliyeleft group' a mara nyingi umekuwa unaingia ktk migogoro na watu wenye misimamo mikali juu ya hiyo Tabia .
Kama kweli ni binti na mrembo hivi basi uko vizuri
 
Back
Top Bottom