Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
[emoji8]Hakika u mzuri, ee mpenzi wangu,
Hakika u mzuri!
Macho yako ni kama ya hua!
Nafsi yangu inakufurahia wangu wa moyoni .
Unajua vile nakupenda mno..
Hakika Mungu ni mwema kwetu[emoji173]...
Hivi Unajua mama mtumishi hachoki kumuangalia gentleman wake?