Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,227
Ulibaki tu pekeyako[emoji23]Hivi wakuu kuna mtu humu ambae alikuwa anaumwa Hadi kuzidiwa hii wiki.Mimi ndy nimeanza kupata unafuu Jana
Hii Hali ya kukohoa na mafua ni balaa
Ulibaki tu pekeyako[emoji23]Hivi wakuu kuna mtu humu ambae alikuwa anaumwa Hadi kuzidiwa hii wiki.Mimi ndy nimeanza kupata unafuu Jana
Hii Hali ya kukohoa na mafua ni balaa
Nakumiss pia AnneMimi mwenyewe sina hakika.
Btw, you 're missed![]()
Ni yeye amekumiss![]()
Unibariki sasa na pichaNakumiss pia Anne
Na wewe uliugua?Ulibaki tu pekeyako[emoji23]
Wengi sana tumeumwa hii homa .Hivi wakuu kuna mtu humu ambae alikuwa anaumwa Hadi kuzidiwa hii wiki.Mimi ndy nimeanza kupata unafuu Jana
Hii Hali ya kukohoa na mafua ni balaa
Hahaaa haya mambo siyo ya kubishia kama huna uhakika mdogo wangu utaaibika mbele za watu [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaan, hapa nakumbka siku ile jinsi alivokua ashabadilika usoni kutaka kulia, nacheka km chizi
Pombe zingine majina ya watu, zingine majina ya nyimbo za wasanii bas tafrani tupu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah mommah hebu nipitishe ktk store za vinywaji, nisiabike siku nyingne, najua yule mtu lazima ananiona mshamba tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
NdiyoNa wewe uliugua?
Dah Mimi nilikuwa na Hali mbaya snWengi sana tumeumwa hii homa .
Ubarikiwe mama mtumishi wangu mzuri sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijani kibichi wapo wanaruka na kukanyagana kule kwenye uzi wa PhD na kesi ya Mbowe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa msaada wa Bwana hawawezi[emoji8].
Nimefurahi sasa baba mtumishi.
Asee mambo yalikuwa magumu sn kwangu.Nashukuru naendelea vizuri.Ulibaki tu pekeyako[emoji23]
Ngoja ninyoe ndevu nakubariki baadae😀Unibariki sasa na picha
Hivi nilikuwa nawaza,baba mtumishi leo anapita kimyakimya...anataka kuifanya nini nafsi ya mama mtumishi wake?
Ilikuwa ngumu hivyohivyo kwa wote[emoji1787]Asee mambo yalikuwa magumu sn kwangu.Nashukuru naendelea vizuri.
Jf ilikuwa nachungulia Tu Kwa vile nimezoea
Amina🙏Pole mkuu,
Mungu akufanyie wepesi upone haraka[emoji120]
Pole sana. Kachome J&JNdiyo
Hakika u mzuri, ee mpenzi wangu,Hivi nilikuwa nawaza,baba mtumishi leo anapita kimyakimya...anataka kuifanya nini nafsi ya mama mtumishi wake?
Najua unajua vile mama mtumishi anafurahi akikuona[emoji120]
Wachomane huko serikalini hadi ziishe[emoji23].Pole sana. Kachome J&J
😀😀😀 Aiseehata tukigongwa vipi na homa hatupotei hewani afe kipa afe beki.
Mimi ilinibana tu siku moja..siku nyingine nilikuwa normal.Amina[emoji120]