cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,309
- 187,966
Leo umeamua mama malezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umeamua mama malezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babuuuh yangu kipendhiiiih, hebu nitumie vipande 3 hapo nishushie na masafi ya lita 1.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasherehekea birthday ya mjukuu mtukutuView attachment 2047994
Mlongo nna case nawee, kwanini huniletei ulanzi leo siku yangu ya kuzaliwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku mwema[emoji7]View attachment 2048025
Hapa sio kilombero? Njia ya kwenda mahenge - Ulanga?Mkienda tena Moro siku nyingine, mfike na huku mkatalii kidogo; panaitwa Highlands
View attachment 2047952
Usiniambie mlongo[emoji23],umetimiza kumi na ngapi??Mlongo nna case nawee, kwanini huniletei ulanzi leo siku yangu ya kuzaliwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefall in love na huo ugaliTuendelee kupambana na homa kwa kushindilia ugali[emoji23]View attachment 2047931
Kweli duniani tunatofautiana, mbona hanishitui hata? Au ndio nimeozeana kwa Shemeji yako sijui unamuitaje? 😀Nikimuona huyu mtoto napona homa[emoji7][emoji173][emoji91]View attachment 2047850
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mlongo,yaan
Wifi kidawa kwa kono lile nono unakula sembe kweli? Sio dona?😀Nimefall in love na huo ugali
Napenda sembe jamani
Wee akat ni 20+, mie mzee bhana. [emoji23][emoji23][emoji23]Usiniambie mlongo[emoji23],umetimiza kumi na ngapi??
Nikuletee ulanzi na mabumunda
I wish ungekuwa hapa Mtumishi nikuonyeshe fomyula ya hiki kinywaji ninachotumia...au unisaidie kugeuza hizi ribs kwenye oven...
Uwe na wikendi njema pamoja na wapendwa wako Mtumishi mwema[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Joy Eslava[emoji123][emoji123]Nani yupo Goba muda huu ajongee hapa Joy eslava tunywe pombe…
Ooh pole , Ni kucha ndefu au ?
Mimi nilijaribu kufuga ndefu nikaona zinakatika tu
Nikazikata .
Leo umeamua mama malezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sio kilombero? Njia ya kwenda mahenge - Ulanga?
Mimi nimezipenda kucha zako!Ndefu siziwezi
Vifupi ndo naviweza maana kucha ndefu zahitaji usafi kila siku .
Joy Eslava[emoji123][emoji123]
Kuna kaka mmoja alinishauri kuwa ukitaka kucha zikuwe inabidi uzichonge hivi , hapo zinakuwa ndefu bila kukatika hivyo.Ahsante. Kwa kweli mimi kucha zangu huwa zinakatika zenyewe na kukua tema zenyewe, huwa sizigusi
Nahisi ni 22 hivi[emoji16] hongeraWee akat ni 20+, mie mzee bhana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ubebe na mangatungu hapa kachumbali ninayo.