Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,767
- 22,041
Kulaga na ugali nyanda bhebhe!Tujaghe Lolo [emoji2][emoji2]View attachment 2047909
Haya waachie vijana wa kidimbwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kulaga na ugali nyanda bhebhe!Tujaghe Lolo [emoji2][emoji2]View attachment 2047909
Have you ever tried your luck there?Nimewahi kufika! Hela zipo kwa wanaojishughulisha na uchimbaji wa dhahabu ila si unajua tena hiyo biashara lazima uwe vizuri kwenye yale mambo!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kulaga na ugali nyanda bhebhe!
Haya waachie vijana wa kidimbwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo ukorofi wenyewe huo[emoji3],nawaoneaga huruma raia wanapigishwa kichura hadi siyo poa[emoji35]Mh! Sikuwakorofisha ila nilikatisha kwenye njia ambayo walishasema watu wasikatishe...na ndio shortcut!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Tenga muda wako uangalie skills zake, yule dogo Yuko vizuri sana na hivi Yuko na 21 yrs, there's bright future with him 💪Nahi sijavutiwa nazo [emoji2][emoji2]
Hahaha! Vipi lakini kijana wa Tipidanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Usimpoteze huyo kijana, anakabiliwa na kazi ya kufyeka pori kwa meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mshauri apige nguna na sato aache hizo mboga ( chips)[emoji28][emoji28][emoji28]Bado mirinda nyeusi hapo[emoji8]
Ngoja nimkumbushe kuwa hata Mfalme Suleimani alikuwa na wake 300 na Michepuko 700 lakini wake zake hawakumwacha hata baada ya kujua, Kwanini Yeye ameshindwa kujifunza?Niliachwa sababu sijatulia eti michepuko mingi[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mirinda nyeusi ya baridiiiii na chachandu kidogo[emoji8]Usimpoteze huyo kijana, anakabiliwa na kazi ya kufyeka pori kwa meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mshauri apige nguna na sato aache hizo mboga ( chips)[emoji28][emoji28][emoji28]
Tushasonga mbele kama injili.Nilidhani Pombe, keep that reason with you.
If not that strong rudisheni majeshi, Mimi na Bibi yenu mwaka 1977 tulirudiana mara 7 baada ya break ups kama yenu [emoji12][emoji123][emoji123]
Nipe location kwa Waziri Mkuu nije kukujoin.
Mapenzi ya mbali ni magumu sana!..mtoto yupo Atown
Hamkutaka kujifunza kwa sie Wazee 🙈🙈Tushasonga mbele kama injili.
Alikuwa ananipa presha.Hamkutaka kujifunza kwa sie Wazee [emoji85][emoji85]
Hizo ni kumbukumbu tu bana, sipo huko leo. Siku moja ukipata nafasi, kagonge [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]. Nitakupa maelezo vizuriNipe location kwa Waziri Mkuu nije kukujoin.
Very cool place hasa ukiwa unapata [emoji1635]
Weka pichaAlikuwa ananipa presha.
Ikionyesha presha ilivyopanda?Weka picha