Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Mimi nimeshindwa, nakurudishia msalaba wako kwakweli chukuaA wapi
Apambane na wewe.
Asituambie amekuchoka mapema hivi!
Mimi nimeshindwa, nakurudishia msalaba wako kwakweli chukuaA wapi
Apambane na wewe.
Asituambie amekuchoka mapema hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuja, tunapiga sembe huku tukimjadili ex wetu [emoji23]
A wapi![emoji16] Wewe hupendagi " Tall, Dark and Handsome" kama wadada wengi?
Apambane tu hapohapo.Mimi nimeshindwa, nakurudishia msalaba wako kwakweli chukua
Huyu mtoto akija kunioa hata bure nakubali.Vipi mfanye fanye bas niwe MC wa harusi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babe wangu ama ex wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikutumie sembe kwenye kilimanjaro express huku tukiendelea kujadili huyo babe wako aliyeshindikana.
Basi mie nikiongozana na wadogo zangu,23 yrs,,,18yrs mie naonekana mdogo[emoji16],basi wananiulizaga hivyo hapo dada yako wa kwanza ni yupi[emoji16]nachekaga tu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv unajua nataman miaka mingi au kuonekana mkubwa, bas nna mdogo angu yey ana 19, yko 1St yr this time, bas kanizidi umbo na urefu kdg, anaamkiwa yeye mie siamkiwi. Nachukiaga na kukasirika mno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda ukubwa had bas
Tuone hiyo nyingine hebu[emoji23] ngoja nipige tena kwa simu nyingine hebu
Si unaona kalivo kadogoTuone hiyo nyingine hebu
Kaka yangu amekuja umemuona lakini, we pishana na TAA wako humu?A wapi!
Yaani mimi mweusi halafu nitafute mweusi tena??
Hiyo mixture si tutatoa katoto kama kamepakwa oil!
Namtaka kaka yako ili tuphotoe katoto amazingi kama huyo TAA.
woiiiUsiku mwema[emoji7]View attachment 2048025
Uwiii ona hadi saa inazama kwenye softness! Sembe si mchezo😀Si unaona kalivo kadogoView attachment 2048071
Na unataka nini?woiii
Jilipue kama Mobet.o alivyomfata NaniliuHuyu mtoto akija kunioa hata bure nakubali.
[emoji23][emoji23]jinga wewe, nimechekaUwiii ona hadi saa inazama kwenye softness! Sembe si mchezo[emoji3]
Tutolee nzi hapa..Tupige vyombo[emoji7]View attachment 2047798
Mtoto mzuri mawardat.
Ndiyo maana[emoji120]yaani sipati usingizi hapa[emoji16]kumbe kuna mtu ananiota[emoji23]Mtoto mzuri mawardat.
Nakuona.
Leo nimekuota.