Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ata sielewiiii😀😀😀 yakoooIkionyesha presha ilivyopanda?
Ata sielewiiii😀😀😀 yakoooIkionyesha presha ilivyopanda?
Siku hiyo tutaungana pamoja kupiga vyombo[emoji23]Hizo ni kumbukumbu tu bana, sipo huko leo. Siku moja ukipata nafasi, kagonge [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]. Nitakupa maelezo vizuri
Ukiweka yako nitawekaAta sielewiiii[emoji3][emoji3][emoji3] yakooo
Siku hiyo tutaungana pamoja kupiga vyombo[emoji23]
Itakuwa bia tu kwa kwenda mbele.
Kama walinzi hawatakuzuia kuingia please kaniwekee ujumbe kwenye ofisi ya Waziri MkuuHizo ni kumbukumbu tu bana, sipo huko leo. Siku moja ukipata nafasi, kagonge [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]. Nitakupa maelezo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hofyoooo. Nimeanza mazoezi ya kupost, soooooooon
Eeeeeh muganda wangeTunachoongea sio kihaya!!
Hivi vyombo kumbe ni ghali eeh! [emoji15][emoji15][emoji15]
Asante walevi[emoji23]
Asante. Angalau umejitahidi. Ni hatua nzuri. Na Mungu Akipenda nitakuja hapo March 2022 pamoja na familia yangu. Naamini watapapenda. Itapendeza Mtumishi ukiwa mwenyeji wetu [emoji1545]
Nakuaminia,bado sana hiyo,ongeza
Forensic entomologist...kazi ngumu lakini ina mshiko!I will die this year,, View attachment 2047986
Nakuaminia,bado sana hiyo,ongeza
Mimi na any dead organism ni foes from the beginning of time,,,Forensic entomologist...kazi ngumu lakini ina mshiko!
Maiti ikiokotwa imeoza wewe kazi yako ni kuchunguza insects activity na kubashiri muda ambao kifo/mauaji yalitokea......na kuwasaidia wapeleleki kuamua majeraha yapi yametokana na funza na yapi yametokana na sababu zingine....Utaweza?
I will die this year,, View attachment 2047986