Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku mwema[emoji7]
IMG_20211217_223550.jpg
 
Natafuta babe mwingine...my ex nifanyie mpango kwa huyu NaddySL
Ohoooooo...yamekuwa hayo?
Amekushinda toto kama lile?
Sasa unataka Mungu akupe nini?
Kwani unakwama wapi Mkuu Dada zako tukusaidie kukuongelea kwa Wifi?
Chombeza za bebi umeamka? Bebi umekula? Bebi unafanya nini sasa hivi? Hazijasaidia?
 
Mjukuu bana. Sasa utapigaje vyombo bila Yutong? [emoji15][emoji15][emoji15]. These things go together. Yutong ipo inakuja baadaye [emoji16]
View attachment 2048029
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kwa sauti hapa[emoji23]

Nimekutizama nimeishia kusema Hiiiiiiiii

Umekula ugali au chipsi?
 
Wewe unafikiri Yutong kama hii utawezana nayo kwa kula chips? We mjukuu vipi?
 
Back
Top Bottom