Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante sana, ila -1 kwenye hiyo number [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkubwa bhana wee mlongo, usinidogoshe plz.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenzio natamani nipunguze miaka[emoji16]

Kama vile ningekuwa na 15 hivi[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenzio natamani nipunguze miaka[emoji16]

Kama vile ningekuwa na 15 hivi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv unajua nataman miaka mingi au kuonekana mkubwa, bas nna mdogo angu yey ana 19, yko 1St yr this time, bas kanizidi umbo na urefu kdg, anaamkiwa yeye mie siamkiwi. Nachukiaga na kukasirika mno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Napenda ukubwa had bas
 
[emoji23] Wifi bwana! Unamchuuza Kaka wa watu. Mtoni kwa Azizi Ali na Mbagala Kizuiani ndio maeneo yangu ya kujidai
[emoji23]

Ana drama huyo.
Wifi yangu wa mamtoni hutawezana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na kaka yako hatutaki kuja kusikiza kesi .
 
Back
Top Bottom