Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni mbele kidogo ya Nashera; unaingia kushoto, kabla hujafika kwenye kile kidaraja cha Nguzo, utaona mabango. Au unaingilia Morogoro hotel, then unakunja kulia, ukivuka tu daraja la Nguzo, ushafika.

Kutembea napo ni wito; mimi angalau kuna matukio huwa yananilazimu kutembea, otherwise mmmh
Ooh Asante . ..
Nimekaa Morogoro hata Bigwa sijafika
Na hapo Nguzo camp ni wapi ?
 
Bwana mdogo wewe;

Siku ile ulitoa kauli ya hovyo kuwa eti kwa jinsi unavyoandamwa na walimwengu hutegemei kuishi maisha marefu. Sikuipenda kauli hiyo na niliikemea hapo hapo. Na leo nakwenda kinyume na kauli hiyo tena; na natamka hadharani hapa kwamba katika jina la Yesu Aliye Hai utaishi maisha marefu mpaka uone watoto, wajukuu na vilembwe vyako.

Furahia birthday yako kwa amani na Mungu Akusimamie na kukuongoza daima.

Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ahsante sana mzee wa busara, ubarikiwe mno tena mno, na unisamehe nilipokukwaza.

Unapokua ktk hasira au adha yeyote usiyo sawa, unatamka chochote tyuuh. Lakini sio kwamba ni kweli au uhalisia, japo lolote linaweza kutokea, hakuna ajuaye kesho, maana God anaweza kupanga niishi umri mrefu, ila mie mwenyewe nikaamua kumpinga kwa kujichukulia hatua mkononi (sitamani itokee hivyo).

Maisha matamu bhana, [emoji482][emoji482][emoji482].
 
Sasa Mtumishi nagongaje kilevi bana; ni H2O kwenda front[emoji23][emoji23]
Maji as in H20 au maji yenye kilevi...

Acha tu nipige vyombo leo. Sitegemei kutoka hapa ndani mpaka labda Jumanne hivi. Hata nikijichakaza nalala tu naamka naendelea tena kupiga vyombo mpaka kieleweke [emoji16][emoji16]
 
Ni mbele kidogo ya Nashera; unaingia kushoto, kabla hujafika kwenye kile kidaraja cha Nguzo, utaona mabango. Au unaingilia Morogoro hotel, then unakunja kulia, ukivuka tu daraja la Nguzo, ushafika.

Kutembea napo ni wito; mimi angalau kuna matukio huwa yananilazimu kutembea, otherwise mmmh

Asante kwa maelezo haya .
Kweli kabisa kutembea inahitaji moyo otherwise huendi popote .
 
Sasa Mtumishi nagongaje kilevi bana; ni H2O kwenda front[emoji23][emoji23]
I wish ungekuwa hapa Mtumishi nikuonyeshe fomyula ya hiki kinywaji ninachotumia...au unisaidie kugeuza hizi ribs kwenye oven...

Uwe na wikendi njema pamoja na wapendwa wako Mtumishi mwema[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Screenshot_20211217-225302.jpg
 
Back
Top Bottom