Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,228
Duh mbali[emoji2356]Njoo masaki, ukiwa njiani niambie nikuelekeze nilipo
Hali kuja kufika ni asubuhi[emoji134]
Duh mbali[emoji2356]Njoo masaki, ukiwa njiani niambie nikuelekeze nilipo
Upo mbeya?Duh mbali[emoji2356]
Hali kuja kufika ni asubuhi[emoji134]
Rudisha majeshi kwa Mtakatifu, atakusaidia nyakati za shida kama hizi 😜😜Mapenzi ya mbali ni magumu sana!..mtoto yupo Atown
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaogopa,wala usiogope[emoji41]Mh! Sorry tutakutana huku huku mitaani kwetu! Nawajua hao!!
Nipo Mbezi hapa.Upo mbeya?
Hiyo barabara ya Chunya mkuu auView attachment 2047822
Iko jirani kunyesha [emoji2414]
Weka hata picha za Nguzo Camp roho zitulie kha!
Tulidumu kwa mwaka mzima,mimi nikiwa greencity.Rudisha majeshi kwa Mtakatifu, atakusaidia nyakati za shida kama hizi [emoji12][emoji12]
Huku salama bageshi. Ukioa li Yutong utanenepa tu utake usitake. Ila ukioa kakimbaumbau kenzio ndiyo wote mtazidi kukondeana tu yaani dah!Hahahaha...Bhageshi kama kula huwa nakula sana kwa kweli ila mwili kuongezeka huwa naongezeka kidogo mno
Au nikioa naweza kunenepa[emoji3]
Kwema lakini bhageshi
Hapo uber dk 30 nyingi, wachaga wamesharudi kwao hamna foleniNipo Mbezi hapa.
Kama ni mzurulaji basi jua Ni suala la muda tu.Namshukuru MUNGU hii hali haijanipata,raia inawachangamsha kiukweli
Nichangie nauli[emoji846]Hapo uber dk 30 nyingi, wachaga wamesharudi kwao hamna foleni
Nadhani shida yao kubwa ni kwenye kupiga vyombo. Hawako compatible [emoji16][emoji16]Rudisha majeshi kwa Mtakatifu, atakusaidia nyakati za shida kama hizi [emoji12][emoji12]
Amen [emoji120][emoji120]Bwana mdogo wewe;
Siku ile ulitoa kauli ya hovyo kuwa eti kwa jinsi unavyoandamwa na walimwengu hutegemei kuishi maisha marefu. Sikuipenda kauli hiyo na niliikemea hapo hapo. Na leo nakwenda kinyume na kauli hiyo tena; na natamka hadharani hapa kwamba katika jina la Yesu Aliye Hai utaishi maisha marefu mpaka uone watoto, wajukuu na vilembwe vyako.
Furahia birthday yako kwa amani na Mungu Akusimamie na kukuongoza daima.
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
We chukua uber ikifika hapa nilipo nalipaNichangie nauli[emoji846]
Sasa upo naye Kijiji kimoja anakwama wapi kijana wetu?Tulidumu kwa mwaka mzima,mimi nikiwa greencity.
Zitume! Now! [emoji2099][emoji2099]Nitazituma, nilimuahidi Mjep pia tangu jana. Ila mimi na wewe; fresh tu
Nitakuja kesho mkuu[emoji23]We chukua uber ikifika hapa nilipo nalipa