Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We mkaka tulikutana Pale bochi hospital mbezi kwa msuguri,na ukawa unatomasa tomasa kidoti changu Na ukaniuliza,nimezaliwa nacho?, nakusalimia sana kama upo hapa[emoji108]
IMG_20211217_200327.jpg
 
Wewe ndiyo wa kuni-snitch? Dawa yako ipo jikoni[emoji20][emoji20]

Amen[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Halafu Mama Mchungaji. Hebu kata mzizi wa fitina. Kuna siku kweli utaselfika hapa au ni miyeyusho tu deile?

Kusema kweli tumevumilia tumechoka sasa. Kama vipi weka tu hata picha za vichaka na swimming pools za Nguzo Camp zitatosha [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kusema kweli bageshi ongeza msosi kidogo. Si kwa wembamba huu japo inasemekana nyie wembamba wa hivi mnapendwa sana na mabinti na hasa ma Yutong....[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha...Bhageshi kama kula huwa nakula sana kwa kweli ila mwili kuongezeka huwa naongezeka kidogo mno

Au nikioa naweza kunenepa[emoji3]

Kwema lakini bhageshi
 
Back
Top Bottom