CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Sitafariki ila nitakufaHufi ila cha moto utakiona
Sitafariki ila nitakufaHufi ila cha moto utakiona
Asante. Angalau umejitahidi. Ni hatua nzuri. Na Mungu Akipenda nitakuja hapo March 2022 pamoja na familia yangu. Naamini watapapenda. Itapendeza Mtumishi ukiwa mwenyeji wetu [emoji1545]
Sitafariki ila nitakufa
sie vijana wa kidimbwi tumekukosea nini 😬😬😬Kulaga na ugali nyanda bhebhe!
Haya waachie vijana wa kidimbwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee. Yaani nimebakia peke yangu ambaye sipigi vyombo. Sikubali aisee. Na mimi nalianzisha japo peke yangu tu tena kwenye garage gheto...Vyomboo....View attachment 2048005
Beautiful sceneryMkienda tena Moro siku nyingine, mfike na huku mkatalii kidogo; panaitwa Highlands
View attachment 2047952
Leo nimelala mbele na GBPJP na EURAUD pamoja na EURUSD na XAUUSD.. sasa hivi nimefunga biashara[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutauza simu,tutanunua supu,wala usijali wangu,Wewe kesho supu utaninunulia eeh [emoji1]
Aisee. Yaani nimebakia peke yangu ambaye sipigi vyombo. Sikubali aisee. Na mimi nalianzisha japo peke yangu tu tena kwenye garage gheto...
Naanza na Chardonnay halafu nitahamia kwenye Grand Marnier baadaye. Na ribs zipo zinatokota kwenye oven. Liwalo na liwe dammit! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2048017
Amen Mtumishi mwema.Anytime Mtumishi. Tuombe tu uzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo usinambie huna, weeengoja nikipata Gari nitajifunza
Sawa,sawa,siyo ule elevi wa yutong[emoji2440]Aisee. Yaani nimebakia peke yangu ambaye sipigi vyombo. Sikubali aisee. Na mimi nalianzisha japo peke yangu tu tena kwenye garage gheto...
Naanza na Chardonnay halafu nitahamia kwenye Grand Marnier baadaye. Na ribs zipo zinatokota kwenye oven. Liwalo na liwe dammit! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2048017
Ahsante sana dea. Na iwe hivyo.Happy birthday Mkuu, Mungu akujaze baraka
Ahsante sana. [emoji120][emoji120]Kheri ya siku yako ya kuzaliwa mkuu
Ahsante sana Mr, na iwe hivyo, nishuhudie uzee wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ufanye fanye bas cc [emoji7][emoji7][emoji7]Kweli kabisa ningekutoa out hata upate kadinner kidogo jamani. [emoji848]
Maji as in H20 au maji yenye kilevi...Usinywe Mtumishi; nipo hapa napiga maji[emoji23]
[emoji172][emoji172]View attachment 2047697
Hata Yesu alirudi kwao kwenda kuhesabiwa, Mimi ni nani nisirudi[emoji12][emoji123]
Peace to everyone here [emoji3577]
Sijawahi kujaribu bahati yangu kwenye hayo masuala mkuu. Migodini kuna ukiritimba wa kila aina.Have you ever tried your luck there?
Nipe maujanja basi [emoji120]
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji8][emoji8] thanks much mommah kipendhiih.Happy Birthday To You [emoji512][emoji512] [emoji173][emoji173]