Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mimi nitanenepa na kuwa na tumbo/kitambi cha kufutia simu.

HAPPY SABATH DAY SAINTSView attachment 2047849
Kusema kweli bageshi ongeza msosi kidogo. Si kwa wembamba huu japo inasemekana nyie wembamba wa hivi mnapendwa sana na mabinti na hasa ma Yutong....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ha ha karibu vyombo
20211217_201859.jpg
 
Back
Top Bottom