Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,879
- 147,378
Jeshini[emoji41]Ndio wapi huko? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Jeshini[emoji41]Ndio wapi huko? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]Kwa kweli, si unajua tena Wazee mwendo wetu hasa tukipewa ofa za aina hiyo [emoji12][emoji12][emoji1732][emoji1732]
Karibu sana kaka. Ila sijui kama ntakuwepo huku hahaahahah.ok.mie huko tarehe 5 ktk mapinduzi cup
Corona iliyochangamka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kiukweli dar kina ka wimbi ka homa plus mafua
Unaleta nyuki dogoTupige vyombo[emoji7]View attachment 2047798
[emoji38]Unaleta nyuki dogo
Asante sana...Bado wewe tuView attachment 2047775
Ni kweli,imechangamka na inawachangamsha wana daslamu[emoji41]Corona iliyochangamka[emoji23][emoji23][emoji23]
Vyombo vya Waadventista Wasabato hivi!Tupige vyombo[emoji7]View attachment 2047798
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sikutaka dhambi mkuuVyombo vya Waadventista Wasabato hivi!
Ungeonja vyombo vya eksi wako sasa hivi ungekuwa ushazoea K Vant inashuka tu kama maji [emoji16]
Hizo zinakutosha ngapi kulewa? Nataka nikupige za kutosha ili nikuone ukiyumbayumba😜😜Tupige vyombo[emoji7]View attachment 2047798
Omicron kajengewa hofu dunia nzima lakini Mungu naye si Athuman kumbe hata makali hana kivile. Anazidiwa makali na mtangulizi wake Delta mara 100...Dawa ya Omicron[emoji4]View attachment 2047802
Ina maana hata Savannah hukumuonjesha? [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sikutaka dhambi mkuu
Very true..huyu Omicron hana makali kabisa vijana wengi wanaumwa mafua na kichwa then wanapona.Omicron kajengewa hofu dunia nzima lakini Mungu naye si Athuman kumbe hata makali hana kivile. Anazidiwa makali na mtangulizi wake Delta mara 100...
Kwa wenye ishu za moyo, presha, visukari na compromised immune systems ndiyo anatesa lakini kwenu hasa nyie vijana ni mafua, homa tu na maumivu ya mwili huyooo anakwenda zake. Piga vyombo kamanda!
Hapana sikutaka kumfanya mtakatifu awe mdhambi.Ina maana hata Savannah hukumuonjesha? [emoji15]
Inachangamsha sana [emoji23]Ni kweli,imechangamka na inawachangamsha wana daslamu[emoji41]
You are a holly man. Safi sana [emoji122][emoji122]Hapana sikutaka kumfanya mtakatifu awe mdhambi.