Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Why?[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]naifutaaaa
Why?[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]naifutaaaa
Thubutuuuuu!Mpe kabisa hyo pesa ashike kwasababu nipo kwenye hatua za mwisho mwisho kabisa
Bible studyHizo mbio wapi tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo.
Halafu mshana ujue nakuzidi Urefu.
Mate yamenitoka mkuuna mimi wacha nipost soda hakuna namnaView attachment 1225020
Nyie mmeshindikana, Hadi kuku mnawapa pombe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha umesahau natokea kwenye mkondo wa wanywaji...Nikiwa mdogo nilikua natumwa nikachukue gongo yakuchanganya kwenye chakula cha kuku kwa ajili ya kutibu kideri...nilikua natupiamo pafu mbili tatu.
Paka wanapenda rahaaa!![emoji3][emoji3][emoji3] Kwenye mkuyenge?View attachment 1224963kapitiwa na usingizi kabisa.[emoji3]
Nyie mmeshindikana, Hadi kuku mnawapa pombe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hii picha nimeshindwa kuileawa[emoji1745][emoji1745]
Ukiwachukia na wao wanakuepuka maana wanakuwa wanajua. Sasa mimi hata nikienda ugenini paka kama yupo lazima anisogelee.Paka wanapenda rahaaa!!
Sitasahau kuna siku kidogo paka aniue kwa pressure. Yangu siku hiyo nawachukiaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Zesh mumeo amechizika huku
Nachukia Paka jamani wooooiiiiii[emoji3][emoji3][emoji3] Kwenye mkuyenge?View attachment 1224963kapitiwa na usingizi kabisa.[emoji3]
Pole sana mama, tatizo me wananipenda. Sijui hii kitaalamu Mshana Jr anaizungumziaje babe.Nachukia Paka jamani wooooiiiiii
We cheka tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alokuroga kafa.Ya 2... naona wamebadili labelView attachment 1225021
Alokuroga kafa.
Mmmmh!Ni dawa nzuri tu..wafugaji wanajua
Wasinisogelee kabisa.Ukiwachukia na wao wanakuepuka maana wanakuwa wanajua. Sasa mimi hata nikienda ugenini paka kama yupo lazima anisogelee.
Ilikuwaje tena?? Au ulimkanyaga mkiaPaka wanapenda rahaaa!!
Sitasahau kuna siku kidogo paka aniue kwa pressure. Tangu siku hiyo nawachukiaaaaa