Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahha alafu paka akisha zoea sehem hata ukienda kumtupa mbali anarudi.

Pole dada shemeji
Dogo aliokota paka hukoo akaja nae nyumbani.
Usiku nimejilalia sina habari, nastuka Kuna kitu kilainiii pembeni yangu ndani ya blanketi halafu kinakoroma. Hapo nimelala mwenyewe, hali iliyonipata ningekuwa na pressure ningekufa. Hadi nakuja kugundua ni paka nilikuwa nasweat kwa hofu.
 
Shhhhhhhhhhh! Usicheke sana kumbe sio pichu.
Ila kwake hicho kitambaa cha ndani kinaonekana kuliko wenzake kwasababu ana bambataaa si mchezo.
Ila ni mchezaji mzuri sana na ni msumbufu huko uwanjani hauwezi kuamini kama ni yeye
yeah nampata yuko vizuri sana, nimeona huyo kaka aliposema eti siyo pichu ni kitambaa chenye matundu madogo kinachozuia michubuko nikajisemea duuh sasa mbona wachezaji wengine hawavai au ndiyo kinavaliwa na hao wenye bambataa tu.
 
IMG_6654.JPG


Let me finish it

F***k life 🤬
 
Back
Top Bottom