Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kumbe Sterling naye ana wowowo kubwa hivyo?? Aisee sikuwahi kumchunguza!! Ila nimecheka,, eti anavaa pichu badala ya boxer..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shhhhhhhhhhh! Usicheke sana kumbe sio pichu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ila kwake hicho kitambaa cha ndani kinaonekana kuliko wenzake kwasababu ana bambataaa si mchezo.
Ila ni mchezaji mzuri sana na ni msumbufu huko uwanjani hauwezi kuamini kama ni yeye[emoji23][emoji23]
 
.
FB_IMG_15702203370502854.jpeg
FB_IMG_15702203217437054.jpeg
 
Inawezekana lakini maana kifua chake nacho ana kisogezaga mbele kama njiwa pori (wachanga tunaita "mbetaa").
Ila bado analo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah....!
 
Yupo kazini hapo hazururi. Anawekea kinga hiyo mitumbwi na majahazi ya wavuvi. Jioni ikifika ataweka picha inayoonyesha mihela aliyopiga. Ana kazi nzuri sana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Dadaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nilitaka kumwambia kama piere konki ni ndugu yake ila nikaona atanipiga kipapai bure.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akupige kwani Sasa? Kweli wamefanana.
 
Back
Top Bottom