Halafu majibu yako ya emoji huwa siyaelewi kabisa.ndo maana hunipendi?
![]()
Hapo ndio umesemaje?
Halafu majibu yako ya emoji huwa siyaelewi kabisa.ndo maana hunipendi?
![]()
Hii ni picha ya 4 na tuma sema huwa haikai masaa 24 nafuta
Uchawi unaanza hivi hivi
Nipo kwenye banda la mama Hashim karibu... Unavyoingia tu kulia
😀😀😀 Kwenye mkuyenge?Akikupa jotroo hapo itakuwaje
Nimekuona, kumbe ndio wewe ankaliiii 🏃Nipo kwenye banda la mama Hashim karibu... Unavyoingia tu kulia
Just incase umesahau, kulingana na maandiko, binadamu ndio tuna miliki ardhi hiii.Naona kama mmemuua. Mumkute kwake porini halafu mumdedishe, si sawa.
Nakujua hupendi paka kigori. Halafu shangaa me bachelor lkn naishi na paka.😀😀Uchawi unaanza hivi hivi
Sasa unamuulizia ulizia nini tena mbele yangu?Piem si ulikataza. Au umesahau
@Zesh mumeo amechizika huku
Duuh wewe pombe hauachi.Hahaha umesahau natokea kwenye mkondo wa wanywaji...Nikiwa mdogo nilikua natumwa nikachukue gongo yakuchanganya kwenye chakula cha kuku kwa ajili ya kutibu kideri...nilikua natupiamo pafu mbili tatu.
Nimekupa like si kidogo

Jilie tu nyama zako aisee (in moderation). Wanasayansi tayari wameanza kusema kuwa kumbe wala hazina madhara makubwa kiafya kama tulivyokuwa tukiaminishwa huko nyuma...Unajua jinsi gani napenda nyama??!!![]()
Hahahaha ana wowowo la kufa mtu.
Halafu kuna kale kalikuwa kachezaji ka Liverpool kakahamia Man city simkumbuki jina... Nae si haba.



huyo mwingine itabidi naye nimfuatilie, ila Hazard aise daah halafu angalau kaptura anazotengenezewa real madrid ni kubwa kubwa kidogo zinakificha kile kiwowowo ila tule tukaptura twake twa chelsea tulikuwa tudogo basi kawowowo unakaona kabisa kalivyotuna.
Au tajiri anaanguka mapepo kanisani.