Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha umemkalia kooni eden hazard leo..

huyo mwingine itabidi naye nimfuatilie, ila Hazard aise daah halafu angalau kaptura anazotengenezewa real madrid ni kubwa kubwa kidogo zinakificha kile kiwowowo ila tule tukaptura twake twa chelsea tulikuwa tudogo basi kawowowo unakaona kabisa kalivyotuna.
 
Uswaz raha tuuu....

One plate for any jf member
20191006_141739.jpeg
 
Jilie tu nyama zako aisee (in moderation). Wanasayansi tayari wameanza kusema kuwa kumbe wala hazina madhara makubwa kiafya kama tulivyokuwa tukiaminishwa huko nyuma...

View attachment 1224961
View attachment 1224966

Wanatuchanganya hawa wapuuzi
 
Mimi nilishasema sitoacha kula kitu chochote kisichouwa....wazee wetu zaman wamegonga sana hayo madude na wameishi miaka ya kutosha.
Jilie tu nyama zako aisee (in moderation). Wanasayansi tayari wameanza kusema kuwa kumbe wala hazina madhara makubwa kiafya kama tulivyokuwa tukiaminishwa huko nyuma...

View attachment 1224961
View attachment 1224966

Mimi nitakula nyama hadi nikiwa kitandani dk za mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom