Nimecheka hadi nimepaliwa. Depal ni mshikaji tu,Mimi ninaye mke Tyr.Ni mpole ingawa Sometimes anauwasha Moto😅,mstaarabu,mcheshi na mrembo sn
Guess who? Karucee
Yaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh
Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siri
Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siri