Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wauuweeeeeeehhh! [emoji2956][emoji2956][emoji2956]In cocastic voice!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu leo nna furaha ya ajabu, cha ajabu sasa nakorofishwa kila sehemu aaaah, still bado furaha yangu iko pale pale.

Sema tena weuweeeeeeeeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata huko PM ntawafurumua tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Tulia we mzee wewe! Kwani hutaki vitukuu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Woiiii jomoni tyuuuh (in **** voice)...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa huru bhana, hat ukimtag wala hana noma,
Relaaaaaax life z too short, hebu enjoy bhana.
 
Uzi wa selfika yeah' too much memes nenda Uzi wa vituko.

Kwa siku usizidishe memes 3.

Usinijibu vbaya maana nitakubonda [emoji1787]
Naanzaje sasa wiii, wee nionee utakavyo wala sina noma mie, kuna watu humu swezi kuwajibu vibaya juu ya busara na utashi wao hata wanikwaze vipi, wee ukiwemo,

Nisamehe wii leo yaan nko happy sana, sijui kuna mabadilko gani yanakuja juu yangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
...tupieni za usiku
FB_IMG_16388248034238013.jpg


Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Na wale wanaoresist wajitahidi kuanzisha mada zao huko.

Hapa ni picha tu.


Mimi niliyemkwaza yeyote apambane na hali yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc omba msamaha bhana, wee hujui baadhi ya watu wa humu wanapenda kuabudiwa? Wao ni watakatifu na hawana kosa wala doa.

Sometimes uvumilivu unashindikana aaah basi kinaumana, ila sipendi iwe hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Naogopa, usikute usingizini anaota ugali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usinisemee babu yangu sawa?

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom