Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Jino halijadondoka?? 🤣🤣 mguno next level ..Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh![]()
Jino halijadondoka?? 🤣🤣 mguno next level ..Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh![]()
Asante mkuuNafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.
Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.
![]()

Uzi wa selfika yeah' too much memes nenda Uzi wa vituko.Nafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.
Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.
![]()
Mpendwa 😁Daah![]()
Nitumie kwanza niioneIshatimia mpendwa, se sema nishushe hapa![]()
Mambo yote Turkey 🥳🥳😬😬😍😍kwani kwenda kutoboa dimpoziii sh. Ngapi jamanii na mimi nikwende mimi navyo vya pendeni ya mdomo sivipendiii😬
Usisahau kunitag 😍😜😜Nitaweka nyingine usijali
Na wale wanaoresist wajitahidi kuanzisha mada zao huko.Nafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.
Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.
![]()
Hivi ni nani huyu?