Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtakula madagascar tu,
Tanganyika ni ya kwangu[emoji38]



Katika vitu watu wa mikoa yetu wanajitahidi basi ni kukirimu wageni.
Yaani wanaweza kumpa mgeni sufuria zima la nyama,wao wapate kidogo.
Wee kumbe ni kweli nasikiaga hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu kapost hiyo meme na haya maneno hapa chini
Husband material ananyoa upara[emoji38]
Ukiona mtu ana nywele nyingi kama za mwanamke huyo ni tapeli[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Ukute amekuzidi hadi wewe hicho kitita cha nywele[emoji38]
Ni matapeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila watunga meme Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
cocastic una wenge kinyama yani inaonekana kama una msela hakupelekei moto shazi anakuwashia tu mabua. Nikama vile kipururu kimejaa vichupa shente mpaka umewehuka.

Tuliza wenge mtoto wa kike una kiraru mbaya mbovu mpaka unakata stimu asee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi jaman kwa comment km hii mtu akijibu vibaya anaonekana mkosaji? Ifike hatua huyo cocastic mumuache apumue bas mbna mnampa heka heka iv?

Ahsante buddy kukaa kimya pia ni jibu, ubarikiwe sana.
 
Siku nitakayoharibu vioo nadhani ndio itakuwa mwisho wa kutumia hizi simu.

Siwezi toa laki mimi kutengeneza kioo..heri ninunue itel ya laki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni bakhiri sana kwan cc?
 
Back
Top Bottom