Selfika na JF: Snap it. Show it

Pale unapodhan umeme ukekata, kumbe luku yako imeisha ndo switch zinakutazama hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubarikiwe sana, hebu pitia kwa mangi pata chochote, bill juu yangu.
 
Hahaa ninazozijua mimi ni Beberu Mwitu then Careem then Emiir sasa sijui kama kuna nyingine hapo kabla [emoji16][emoji16]
Aisee. Afadhali umenifungua macho. Nilikuwa nafikiri huu mchezo anao Jael peke yake...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Na mimi ID hii nimekaa nayo sana. Ni wakati wa kuachana nayo sasa kwa sababu ina baggage kibao [emoji706][emoji706]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…