Hadi kamalize meme,kaje kuiona comment yako ni saa6 usiku.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi wa selfika yeah' too much memes nenda Uzi wa vituko.
Kwa siku usizidishe memes 3.
Usinijibu vbaya maana nitakubonda [emoji1787]
Siku nitakayoharibu vioo nadhani ndio itakuwa mwisho wa kutumia hizi simu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, yaan khaaahView attachment 2036530
Ngata kama ngata🤣🤣🤣
Hahaa ninazozijua mimi ni Beberu Mwitu then Careem then Emiir sasa sijui kama kuna nyingine hapo kabla [emoji16][emoji16]Zamani alikuwa anaitwaje?
Tangu Mello aruhusu watu kubadili ID yaani imekuwa vurugu mechi tu. Mtu anapotea unafikiri alishaondoka JF kumbe yupo kabadili ID. Hovyo tu!
Haya ndio maneno! [emoji2377]
Kichaa haponi anapata nafuu tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaa kweli hujapona vizuri mkuu [emoji23][emoji23]