[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngerenge yene yayigoni mlongo, cha yikita kulyolyopa kwene,
Umenikumbusha mbali wee, ila home kwetu kuna pombe nyingi za asili,
Nimemiss ulanzi hapa, yaan nimeongea na bibi anantambishia ndo amegema leo yaan uko topu kwenye dumu. Natamani nipae hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha nitafika 2022 nimechoka sanaView attachment 2033139
😂😂😂 Em lala hukoNimecheka sana aki na nilikua nishasahau😂😂
Ila ile ukorofi uko nayo ni next level unajua🤣🤣
Me ninazo naomba namba nikutumie😎SaintAnne Naomba nyimbo nzuri za kusifu na kuabudu!
Kwann leo unamkana mkuu..juzi nilikuambia mwanamke anachohitaji ni upendo wa dhati nawe ukanijibu unampenda sn,Kwa Hilo nisiwe na ShakaHuyo mwanamke unaemtaja mbona sina habari nae wala mie hana habari na mie.. nyie kamatieni tu 😁😁😁.. Mkuu sijawai nenepa toka nimezaliwa mzee baba nakula kila aina ya mlo ila no mwili, fanye kila aina checkup kama kuna shida nipo safi, kazi zangu na mambo yangu nimezoezi toshaa 😊😊😊
Kumbe we mwamba ni bonge hivi?😂View attachment 2032826Salamu zenu wajomba😎
Ila nipo serious,nimeona unapost picha nyingi ukiwa na kahawa,nikajua wewe ni mpenzi wa kahawa..Sema mkuu mie sina nyumbani, nalala popote mda wowote na saa yoyote 😁😁😁😁 ila kahawa ndio chakula changu mkuu.. tofauti na wazazi wangu kinachofatia kukipenda ni kahawa
Sijakuona kbs,fanya kupostNjoo uichukue
Shepu ya maana
Ni gauni ndio pana, cheki vizuri😂Shepu ya maana
Safi unatulingishia ulicho jaliwa na Allah 🥰Poa dada Nuzulaty 😆
Za wewe?
Umefika huku bebee?
Mtoto kumbe unaripa si masihara~ in inspekta haroun vocal
Ni body ya mamlaka tu sio bonge😅Kumbe we mwamba ni bonge hivi?😂
Tunaenda step kwa step.Unaujua mpira vizuri? Haunaga ramli [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] bado mwezi m1, utakuta mdojolela, masuku, maembe ya kuiva bwelele,Ulanzi na mahindi ya kuchoma mlongo Muda wake huu
Twende nyumbani bana
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app