Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20211203-WA0152.jpg
 
Ndiyo interest zinatofautiana.
Wengine mnakunywa konyagi mnatapika,mnazimia na mnatuandikia humu na hatulalamiki.

Wengine humu tunaweka mipicha hata isiyo ya maana na tunabebishana na bado tunavumiliwa.

Wengine tunawavumilia humu,wanapost kila kitu yaani.

Ila unakuta walevi na wanywa pombe wanashindwa kuwavumilia wengine wanaopost mawazo yao mengine..mbona wao wamewavumilia.

Point ya muhimu ni tuvumiliane tu.
 
Back
Top Bottom