ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,370
- 118,763
Kwa hiyo tukubaliane kwamba dota ni ana muonekano wa kiume(tomboy) lakini mgegedo ni kama kawaida.Ni kweli matom boy hawako kwenye hiyo society, japo kuna watu wanaamini kuwa mtu ukiwa tu tom boy basi wewe ni lesbian kitu ambacho si kweli. Kuwa tom boy haihusiani na sexual orientation ya mtu, hiyo it's all about mwanamke kuwa na muonekano wa kiume na baadhi ya tabia za kiume lakini wapo matom boy ambao wanagegedwa kama kawaida tu.


, afadhali 

Baada ya kusema hayo sasa huyo dogo sipendi kusoma comments zake. Kila nikimsoma then nikimcheki dogo wangu najisikia vibaya sana. The best thing ni kubofya ignore ili nisiendelee kuikwaza nafsi yangu, first time na-ignore mtu.



..Hampendi sifa
