Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Breakfast
IMG_20211203_091708.jpg
 
You better know when to hold up,,
know when to fOld up
Know when to walk away
Know when to run

Promise me son not to do the things I've done
Walk away from trouble when u can
Know it doesn't mean you are weak if you turn the other cheek,, son as i hope you understand
Son you don't have to fight to be a man

My favorite lines from county songs
 
Kenny Rogers 👊🏾👊🏾
 
Sina ninayemfaham kwetu ni gay asee.

Hujafelihujapata tu kidume cha kukupeleka kibohehe! Kila mtu ana mtu wake ujuwe.
Oohh ulivyosema ukimuangalia mdogo wako unajisikia vibaya nikajua unaye mdogo mwenye hizo tabia

Haha unafikiri wewe ni wa kwanza kuniambia hivyo basi? Shida siyo hao wanaume shida ni mimi ndiyo nimeshindwa!
 
Tuvumiliane.

Ni kama vile tu wengine wanavyopost pombe,kunywa pombe na kusifia bia.
Wengine tuna mtazamo tofauti na ulevi ila tunavumiliana tu hivyohivyo.
Halafu hili la kuona dhambi moja ni kubwa kuliko nyingine nalo ni tatizo lingine tulilonalo wanadamu wengi. Anyway wacha nisiliongelee sana ila maandiko yako wazi kabisa.
 
Halafu hili la kuona dhambi moja ni kubwa kuliko nyingine nalo ni tatizo lingine tulilonalo wanadamu wengi. Anyway wacha nisiliongelee sana ila maandiko yako wazi kabisa.
Linganisha kufi** na kunywa pombe dota, naomba ulinganishe. Yani mtu awe na mtoto mfirwa** na mwingine mwa pombe...hem niacheni nizione ndogo na zingine kubwa!
 
You better know when to hold up,,
know when to fOld up
Know when to walk away
Know when to run

Promise me son not to do the things I've done
Walk away from trouble when u can
Know it doesn't mean you are weak if you turn the other cheek,, son as i hope you understand
Son you don't have to fight to be a man

My favorite lines from county songs
Nani kaimba huu wimbo na unaitwaje
 
Linganisha kufi** na kunywa pombe dota, naomba ulinganishe. Yani mtu awe na mtoto mfirwa** na mwingine mwa pombe...hem niacheni nizione ndogo na zingine kubwa!
Siyo kunywa pombe tu mimi mwenzio nilijiapiza kabisa kuwa nikija kuwa na mtoto wa kiume ni heri awe hata jambazi nitamtetea kuliko awe shoga! Lakini mwisho wa siku tunajidanganya tu tukirejea kwenye maandiko tangu Yesu mwana wa Mungu alipokufa msalabani dhambi zote zimekuwa sawa na zote zinasameheka ukitubu isipokuwa dhambi moya tu ya kumdhihaki Roho Mtakatifu hiyo ndiyo haina msamaha!
 
Back
Top Bottom