Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja sasa nianzishe kampeni ya Wanyaki wote mjumuike hapa tupambane mpaka Mama Mchungaji aselfike. Sema sasa shida itakuwa wewe kuondoka JF. Hilo halitawezekana. JF bila Saint Anne haitanoga wala. Labda useme utapumzika JF kwa wiki mbili hivi lakini siyo mazima. Mazima haiwezekani!
Jf ina memba wengi,famous na wa muhimu.
I'm nobody.
 
Sioni popote ulipopromote ,naona mlikuwa mkipiga tu stori.
Leo wamekuonea.
cc kuna watu wakiona ID yangu wanaweweseka sana,
Yaan kila nacho comment hata hakihusiki na hilo, utaona mtu ananivaa juu juu kwa suala hilo, had huwa nashangaa San inakuaje.

Kna member humu yupo m1, anapenda San kunichokoza tena ktk nyuzi zingne, yaan kila nacho comment ananijia na matus, kejeri, yaan hata nkitoa hoja ya maan, ye lazima anitus tena kwa personal attacks,

Nliamuamu kumpotezea tyuuh, tena saiv ndo kabisa, jua kali, mgao wa umeme na maji, mbna kinaumana,

Tuvumiliane tyuuh hakna namna.
 
Na wewe sometimes jifunze kuwa unapotezea tu inapobidi. Vinginevyo kila siku utakuwa kwenye vita vya kupambania huo ushoga wako humu. Choose your battles carefully. Mtu anayekuandama mtie kwenye iginoa listi na hutamsikia tena!

Ni ushauri tu. Vinginevyo nyote mnaishia kuonekana kama wajinga tu na kuharibu utulivu, upendo na amani ya uzi huu.

Ila hizo tyuuh zako na jomoni zinakera mpaka basi yaani
 
Mtumishi acha hizo bana; mimi nitajipost, kazi ibaki kwao kuleft
Ngoja sasa nianzishe kampeni ya Wanyaki wote mjumuike hapa tupambane mpaka Mama Mchungaji aselfike. Sema sasa shida itakuwa wewe kuondoka JF. Hilo halitawezekana. JF bila Saint Anne haitanoga wala. Labda useme utapumzika JF kwa wiki mbili hivi lakini siyo mazima. Mazima haiwezekani!
 
Na wewe sometimes jifunze kuwa unapotezea tu inapobidi. Vinginevyo kila siku utakuwa kwenye vita vya kupambania huo ushoga wako humu. Choose your battles carefully.

Ni ushauri tu. Vinginevyo nyote mnaishia kuonekana kama wajinga tu na kuharibu utulivu, upendo na amani ya uzi huu.

Ila hizo tyuuh zako na jomoni zinakera mpaka basi yaani
ahsante kwa masahihisho Mr,
Kiukweli mie tangu mtu m1 anifate inbox na kunipa mafunzo na maonyo fulani kuhus hii forum, nilamua kuwa kimya, na nlishaji limit sitaongelea hilo suala ktk mada yeyote, labda iwe mada husika na nitachangia km member wengine tyuuh .

Lakini sasa mie kila niki comment unakuta mtu anakuvaa tyuu paah kejeri,matusi, af sasa mwingne anatusi na kudharau wazazi wangu, wao wanahusika vipi na suala langu?

Mie binadamu mda mwingne nashindwa kuvumilia, aaah tunapambana km hivi,

Nmwkuelewa kuhusu uandishi nitajitahidi kujirekebisha taratibu.
Ahsante na ubarikiwe.
 
Yaani siku hizi kigezo cha mwanaume kuwa researcher kuhusiana na masuala ya uzazi wa wanawake ni kutembea tu na wanawake wawili watatu basi naye anakuwa ameshawajua wanawake wote duniani
Sisi tuna practicals za kutosha kutufanya researchers kama mtu kajaza yutong za kutosha si tayari inamfanya kuwa researcher, hasa kama kila adventure aliyofanya alikuwa kwenye utafiti. Pa kukojolea na pa utam...dota bwana!
 
Back
Top Bottom