Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,021
Hahahaaa!Leo unaenda kwenye shughuri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa!Leo unaenda kwenye shughuri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] miaka mingi sana sijaona iko kilovishwa kwenye ndizi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshtuka sana shos vipi?
Jaman Dar wamezid kwa shughuri lol, yaan kila siku n vigoma na vigodoro, mda ote unakuta ngoma tuuh zinalia ujue tayar kna jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa!
Wee hutumiagi? Ko wee n mnofu kwa mnofu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] miaka mingi sana sijaona iko kilovishwa kwenye ndizi!
Unatumia bamia!!! ????[emoji2957]Nimeona kibamia
Ndizi imevalishwa condom kwa kuwa tayari na matumizi gani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mahondawJumaa Kareem!!!!View attachment 2031413
Hapana mkuuUnatumia bamia!!! ????[emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]Ndizi imevalishwa condom kwa kuwa tayari na matumizi gani mkuu?
Hahahaaa!!!kwanini??? Hupendi ule mtelezo ama??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]Hapana mkuu
Wewe tunaone tu tuzipige za kutosha shem[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha...Bamia ina utelezi fulani hivi kwangu huwa nauchukulia tofauti sanaHahahaaa!!!kwanini??? Hupendi ule mtelezo ama??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
mimi siwez mvumilia shoga.....Ndiyo interest zinatofautiana.
Wengine mnakunywa konyagi mnatapika,mnazimia na mnatuandikia humu na hatulalamiki.
Wengine humu tunaweka mipicha hata isiyo ya maana na tunabebishana na bado tunavumiliwa.
Wengine tunawavumilia humu,wanapost kila kitu yaani.
Ila unakuta walevi na wanywa pombe wanashindwa kuwavumilia wengine wanaopost mawazo yao mengine..mbona wao wamewavumilia.
Point ya muhimu ni tuvumiliane tu.
Preseeeeeeent [emoji3516][emoji3516]!!!
Hujambo mkuuPreseeeeeeent [emoji3516][emoji3516]!!!
Tehteh.. unauchukulia tofauti kivipi sasa!!???[emoji854][emoji854][emoji854]Haha...Bamia ina utelezi fulani hivi kwangu huwa nauchukulia tofauti sana
Labda nikute bamia imewekwa kwenye mlenda zile mbegu zake ndo huwa nakula
Sijambo habari ya wewe!!Hujambo mkuu
Habari ya mimi njema/salama kabisaSijambo habari ya wewe!!
Ndizi kwenye friji mkuu ukiila si inaunguza meno kwa ubaridi.Babuu hicho nini[emoji867],View attachment 2031412
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app