Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujui mfumo wa magri hauna tofauti na binadamu Ukuje tutakupima na tutaonesha kila kitu
Si unaona sasa yaani unafananisha hadi udaktari na uinjinia. Mwili wa binadamu una taratibu zake za kufanya kazi na kujiendesha, hauwezi fananisha na mashine ambazo binadamu una uwezo wa kuzitune tu na kuzifanya zifanye kazi na zijiendeshe kama unavyotaka wewe, sasa jaribu hivyo kwenye mwili wa binadamu ndiyo utajua kwanini hujui.
 
Ni kweli matom boy hawako kwenye hiyo society, japo kuna watu wanaamini kuwa mtu ukiwa tu tom boy basi wewe ni lesbian kitu ambacho si kweli. Kuwa tom boy haihusiani na sexual orientation ya mtu, hiyo it's all about mwanamke kuwa na muonekano wa kiume na baadhi ya tabia za kiume lakini wapo matom boy ambao wanagegedwa kama kawaida tu.
nikiwa mkubwa sana, nitajaribu kugegeda tomboy nione inakuwaje kuwaje.. but wanabaki kuwa wanawake tu japo wanajionaga wasera
 
Si unaona sasa yaani unafananisha hadi udaktari na uinjinia. Mwili wa binadamu una taratibu zake za kufanya kazi na kujiendesha, hauwezi fananisha na mashine ambazo binadamu una uwezo wa kuzitune tu na kuzifanya zifanye kazi na zijiendeshe kama unavyotaka wewe, sasa jaribu hivyo kwenye mwili wa binadamu ndiyo utajua kwanini hujui.
ECU = Brain , Engine = Tumbo au niendelee 🥸🥸
 
Black coffee
20211202_170921.jpg
 
nikiwa mkubwa sana, nitajaribu kugegeda tomboy nione inakuwaje kuwaje.. but wanabaki kuwa wanawake tu japo wanajionaga wasera
Haha ni watamu kama wanawake wengine tu kwani unafikiri wana utofauti basi? Tena kuna wengine wako vizuri kwenye six by six wanajituma sana kuliko hata masister du!

Hapo kwenye kujiona wasela pia siyo wote! Wanaojiona wasela ni wale lesbians ambao wamejipa jukumu la wanaume hadi kitandani ila the rest ambao hatuhusiki huwa tunajiona wanawake kama wanawake wengine tu sema ndiyo tunakuwa tumeshindwa tu kujiweka ili kisister du kama wenzetu!
 
Asee hata mie kwa macho nikiwaonaga navita picha ya utamu wao pia mnakuwa na funy sana kwa bedi, sio hivi vinavyojiona pure breed 😒😒😒
 
ECU = Brain , Engine = Tumbo au niendelee 🥸🥸
Hahaaa ndiyo ninyi mnaosema gari ni living thing iliyopooza. Eti kisa tu inakula, inajisaidia, inaumwa, inakufa nk imeshindwa tu kukua na kuzaa, mnasahau kwamba kitu chochote kikikosa sifa hata moja tu ya living thing hicho tayari ni non living thing sasa gari ishakosa sifa mbili hapo hivyo hauwezi fananisha mashine na mwili wa binadamu.
 
Back
Top Bottom