Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetubania sura mkuu[emoji4]
Bundle iliisha, ikashinwa ku "danrod"

IMG_20211202_173410_312.jpg



Ila hautaondoka mikono mitupu!
 
Hahaaa mimi niexclude hapo maana kwenye hiyo sekta ya mapenzi niko mbovu mbaya aisee. Mie wanaume wote nawachukuliaga kama kaka zangu tu. [emoji1787][emoji1787] [emoji125][emoji125]
Mie sina mdada asee .. wadada wote nachukuliaga kama wachumba zangu watarajiwa, siwezi kuku exclude asee 👴🏾👴🏾👴🏾
 
Back
Top Bottom