Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hahaha danganyika upigwe kimasikharaa




...Uko poa lakini sijapita kabisa hukuu leoo, nasubiri pichaa lako nasikia unatako hapa na riverside hahahaha
Hahaha danganyika upigwe kimasikharaa




...Weeeee niwenalo nitambe!!! Khakhakhaaa kupigwa kimasihara bado😜 bado sana 💃💃💃💃Hahaha danganyika upigwe kimasikharaa...
Uko poa lakini sijapita kabisa hukuu leoo, nasubiri pichaa lako nasikia unatako hapa na riverside hahahaha
Mimi mtoto hata kunifunguliwa piemu tu hatakii....naelekea kupoteza pambano hahahaKwamba niende Kwa sangoma ili mahondaw anitunuku Mimi?thubutuuu
Hata Kwa mkono wa BWANA sidhani km itawezekana mkuu.kuna namna inabidi ifanyike_kutafuta hela na kuwa wa kishua km wewe hapo labda naweza kuwashinda kina Hazard CFC
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Rafiki tenaa...unataka kuninyima nini babe??Weeeee niwenalo nitambe!!! Khakhakhaaa kupigwa kimasihara badobado sana
Miye mzima wa afya kabisa sijui wewe huko rafiki!
Ukisikia mtu ametamani kua vidole ndio hapa sasa





Nakunyima madikodiko mimi niko jikoni!!Rafiki tenaa...unataka kuninyima nini babe??
Hapa nakunyima sere lager ya baridii sanaa
😀😀 Ukikubali hana shida, tukaleni bwana bata la USA ndani ya Manhatan hadi december iishe au na wewe umekalili dubaiAkikujibu nitag 😜😂
Khakhaa! Mna vichaa hakii... Madole mabaya hivo kha!!!Ukisikia mtu ametamani kua vidole ndio hapa sasa![]()
Jamani jamani USA Jamani dah!😋😋😋😜😀😀 Ukikubali hana shida, tukaleni bwana bata la USA ndani ya Manhatan hadi december iishe au na wewe umekalili dubai
Bata letu na kamanda Satoh Hirosh zio la kitoto, ufanye ku opt tu .. USA , bata la dubai la washamba ila mjanja huwezi kuta anakimbilia dubai, mala nyingi wajanja tunaingia zetu visiwa vya carebean huko 😀😀 au ...Jamani jamani USA Jamani dah!😋😋😋😜
Unantamanishajeeee nasikia USA ndio marekani! eti!??!!?? Jamani iiii 😋😜Bata letu na kamanda Satoh Hirosh zio la kitoto, ufanye ku opt tu .. USA , bata la dubai la washamba ila mjanja huwezi kuta anakimbilia dubai, mala nyingi wajanja tunaingia zetu visiwa vya carebean huko 😀😀 au ...
Eeh! kwa bwana Joe Biden... tunaenda kula bata la manhatan, google uone namna gani manhatan ilivyo kabla sijakupa story zakeUnantamanishajeeee nasikia USA ndio marekani! eti!??!!?? Jamani iiii 😋😜
Wazo zuri sn..Tatizo sina mchuzi,hebu muulize huyo mahondaw yupo Tyr kukibeba kile kiapo cha madhabauni cha 'umpende kwenye shida na Raha?'
Shida na Raha mkuu wangu haipo siku hizi 😀😀😀, tuta fail hapo. Tutalala na njaaa acha mie niende na Depal wangu aseeWazo zuri sn..Tatizo sina mchuzi,hebu muulize huyo mahondaw yupo Tyr kukibeba kile kiapo cha madhabauni cha 'umpende kwenye shida na Raha?'
Kama jibu lake ni ndiyo basi nami nipo Tyr kupambana usiku na mchana ili siku moja nimpeleke siyo Tu Manhattan Bali hata pia visiwa vya Ibiza Spain Kula maraha