Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211202_183029.jpg
 
Mie sina mdada asee .. wadada wote nachukuliaga kama wachumba zangu watarajiwa, siwezi kuku exclude asee [emoji1524][emoji1524][emoji1524]
Aahh basi wewe hufai kabisa kuwa kaka yangu. Mimi sina kaka sisi kwetu wote tumezaliwa wa kike, hivyo wanaume wote wanaonitongoza huwa natamani waishie tu kuwa kaka/rafiki zangu, na hii ni kwa faida yao wenyewe maana mimi atakayekuwa mpenzi/mume wangu namuonea huruma sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kijana wa hovyo hovyo anawakaribisha part two baada ya kutoka uswazi moja.. Satoh Hirosh mahondaw View attachment 2030709
Daah sema camera za iphone macho matatu ni konyo kwa kweli, yaani kitu crystal clear. [emoji3][emoji3] Ningekuwa sikufahamu kama wewe ni fogo ningesema huyo siyo wewe umechukua picha ya mtu mwingine, si unatujua tena wabongo mtu akiwa hana analazimisha wote wawe hawana kama yeye. [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom