Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana tena mno naona umekerekwa sana, wee huyu uwe na hoja za kupinga?

Uzuri wake sasa mambo yote yako hadharani, labda nkukumbushe rejea saka saka ya mashoga ya makonda, afu rejea tamko la serikali yako tukufu, utapata majibu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi huu n wa selfika, usitake kuanzisha mada nyingne, nakupa ruksa sasa, kaanzishe huo uzi unaohusu hili unalolitaka afu tushindane kwa hoja, nakupa ruksaaa.

Nwei watu mtume picha zenu, km uzi unavyotaka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Paragraph ya kwanza imenichekesha.

Studio waleteeee.


BTW sichangii mada yenu.
 
Mkuu unatwanga maji kwa kinu, nilishafanyaga kumu ignore huyo dogo.. anafurahi sana ushoga kijana wa kiume chenga kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj waleteeeeeeeeh.

Na ntawachambua m1 by mwingne, af wee ndo una akili sana, ulivoni ignore, na ndo inavyotakiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila jf jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Unaweza amka huna hili wala lile unakuta umewamiwa kwenye comment yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc watu wamevurugwa ujue, jua kali, mgao wa maji na umeme, hasira wanataka wazipumzikie kwa wenzao, tena mti mwenyewe mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntawapa heka heka na kuwarusha rusha km vitenesi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom