Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah we fundi magari umesomea lini udaktari hadi kufikia kuspecialize na kuwa gynaecologist [emoji1787][emoji1787]
Hujui mfumo wa magri hauna tofauti na binadamu 😀😀😀😀 Ukuje tutakupima na tutaonesha kila kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan JF kna vituko na vimbwanga, had huwa sitaman kua nje ya jukwaa. Mweeeh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thanks for the laugh admirer .

The so called"Wafanya research" ni wengi sana ila research kama research ni chache ajabu [emoji57]
Yaani siku hizi kigezo cha mwanaume kuwa researcher kuhusiana na masuala ya uzazi wa wanawake ni kutembea tu na wanawake wawili watatu basi naye anakuwa ameshawajua wanawake wote duniani [emoji2297][emoji2297]
 
Too much zogo..

Chat na picha wandugu...
Screenshot_20211202-162032.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Mr mbna umehemkwa sana? Hivi hata umeelewa lakn? cc angu n Tom boy na sio lesboo,

Muwage hata mnafatilia mambo kwa undani sio kujifanya mnajua, kumbe hata hakna lolote,

Nwei nlikua naongea na huyo nliyekua namquote, kna 7bu iliyofanya niongee nae hivyo, au uliona siku za nyuma nimezungumzia hilo?

Mnaojifanya smart person na hamna lolote, km huyo mwenzio kapewa za uso na nliyekua namquote kuhusu kizazi cha wanawake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kapewa za chembe kabaki kujifaragua ooh ni mtafiti mara vile, kumbe blaah blaah nyingi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.

Huo utafiti kaambiwa atoe ushahidi wa kisayansi anabaki kutema pumba oooh mie mwanaume najua, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume anabishan na mwanamke kuhusu uzazi wa mwanamke, ajabu iliyoje, tobaaah weee,

Dunia ina vituko hii lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu hebu acha kunichekesha. Hebu usibishane bhana tuache tu huu mjadala yasije yakazuka mengine hapa. [emoji2][emoji2]

Huyu Kijana wa hovyo hovyo wala asikupe taabu sie waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba. Najua kabisa alishanielewa ila ananifanyia makusudi tu maana huyu akili zake zinamtosha mwenyewe. [emoji1787][emoji1787]
 
Sikusema yko huko ulikowaza wee, hata muhusika nliyekua namjibu hakumaanisha hivyo,

Yeye alisema ypo katkat, ktk utom boy na fame, sasa cc ang mie Tom boy haswaaaaah.

Ungeuliza kwanza ueleweshwe Lol.
Dooh basi itakuwa nami nilikuelewa vibaya. Niliuliza kama yuko kwa ile society nikimaanisha LGBT so ulivyosema yuko huko nikajua ni lesb ndiyo maana nikasema mie siko huko mimi ni kama tom boy fulani tu (kwa maana kwamba siwezi urembo wala kujiweka kisister du) lakini i am straight.
 
Back
Top Bottom