Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,618
Kamati ya mabumunda!😅Ukigeuka tu nitajua nyimbo unayocheza, kwa mbele hatuwezi jua.
Au mnasemaje ndugu zangu?
Kamati ya mabumunda!😅Ukigeuka tu nitajua nyimbo unayocheza, kwa mbele hatuwezi jua.
Au mnasemaje ndugu zangu?
Huyo ni roboti wa JF an like kila kituIngekuwa kila Like Moja inalipiwa 1£ huenda saivi mkwepu jr angekuwa ananidai £ za kutosha.
Much respect brother![]()

Ndio mie so....salam zimefika!🙂Uyo mwenye la kuchumpa la kumpa rama yuko wap sahz 😃😃😃
Mwambie wana jf wanampa salaam
Hivi anapostigi nyuzi mkwepu??
......Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Hahahahahahah kwahio unatest mitambo sehem mbali mbali😅😳😳😳 Ukichagua ndio unapata kwani , unachagua na bado unakuta hujakizi vigezo... labda mwenzangu umepata pa kujificha
neema za Allah ..Mungu fundi
Mungu mkubwa 😎
Hamna best Camera tu zinansevuneema za Allah ..Mungu fundi
Tuko pamoja mkuu. Ndiyo snack yangu hii...pamoja na walnuts...na pumpkin seeds....View attachment 2029472View attachment 2029473
Nimeambiwa nitafune 3 kwa siku, hapa nimeshatafuna 10 na bado naendelea kutafuna, kama ni dose nimeji overdose
Almonds nuts![]()
Gauni

Foto editor ndugu!!Mungu mkubwa![]()










😅😅😅😅😅 kweli kitanda kinafaidi, hadi nimetamani kuwa mtoFoto editor ndugu!!