Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikiwa kama mtaalamu wa saikolojia, and by experience kama Kijana wa hovyo hovyo mwanamke mwenye vidole kushika mimba ni second sifuri, ukicheza nae kwenye danger umeisha aseee , vizazi vyao huwa vipo karibu sanaaa
Hahaaa hivi hizi sayansi huwa mnazitoa wapi au ndiyo kwenye vijiwe vya kahawa? Nijuavyo kushika mimba kwa mwanamke hakutegemeani na maumbile yake mengine ya mwili wala sijui ukaribu au umbali wa kizazi!

Na hakunaga kizazi cha mbali wala cha karibu kizazi cha mwanamke kinajulikana kinapokaa sehemu yake ni moja tu! Na hiyo ni kwa wanawake wote hakuna ambaye kizazi chake kipo tumboni wala kifuani!

Mfano naonaga wanaume wengi wanadanganya eti sijui vizazi vya mahousegirl vipo karibu sana ukifanya naye mara moja tu anapata mimba! Sasa sijui hicho kizazi kinajuaje kuwa huyo mmiliki wake ni housegirl!

Mwanamke kushika mimba kunategemeana na mambo mengi! Lakini kikubwa ni uwezo wa shahawa kuogelea na kulifikia yai lililopevuka kwenye mji wa mimba ili kulirutubisha hayo mengine ni hadithi tu!

Bila shaka nawe utakuwa unaamini kuwa mwanamke sehemu anayofanyia ndiyo hiyo hiyo anayokojolea wakati ni sehemu mbili tofauti! Na ni wanaume wengi wanaamini hivi utasikia "twende tukaunganishe vikojoleo"!
 
Na uzoefu sana mkuu, trust me.. maumbile ( viungo ) vina link na tabia au muonekano wa viungo flani.. Hiyo sio kahawa nimefanya tafiti ni kweli hiyo .. nisije onekana hapa naongea matusi acha nituliw ila huo ndio ukweli mkuu wangu
 
Unafikiri wewe ni wa kwanza kusema umefanya utafiti? Hii kauli wanaume wote wanaokujaga na assumptions kama hizo kichwani, huwa wanajificha kwenye kichaka cha kwamba eti wamefanya utafiti ili kutetea hizo assumptions zao, ila ukweli ni kwamba hakunaga mambo kama hayo take it from me or if not me atleast take it from science (biology to be specific)!
 
Hapa unataka kumaanisha nini jirani yangu?😜😜🙈🏃🏃
 
Unafikiri wewe ni wa kwanza kusema umefanya utafiti? Hii kauli wanaume wote wanaokujaga na assumptions kama hizo kichwani, huwa wanajificha kwenye kichaka cha kwamba eti wamefanya utafiti ili kutetea hizo assumptions zao, ila ukweli ni kwamba hakunaga mambo kama hayo take it from me or if not me atleast take it from science (biology to be specific)!
Haya bwana, mie ndio mwanaume najua ukweli 😀😀
 
Sasa watu wa mitaa ya Home, wanasema tumebadilishana, yeye amekua mie, na mie nimekua yeye.

Ila watu wakorofi sana daaah.
Hahaaa hata mie ulivyosema tu una sis wako tom boy nikawaza hivyo kuwa mmebadilishana! Anyway i hope hayuko kwa ile society kindakindaki au na yeye ni one of them?
 
Back
Top Bottom