Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Taa zinasaidia kupunguza hatari za ajali.Sema hizo taa zikizidi hio foleni yake itakua sio ya nchi hii maana barabara kwa mbeya bado sana aise
Halafu haziwezi kuleta foleni maana licha ya kwamba tuna barabara moja lakini hakuna msongamano wa magari mengi.
Mfano pale Meta pamekaa vibaya mno.





