cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,060
African Beauty, [emoji7][emoji7][emoji7]
cc ake mie.
African Beauty, [emoji7][emoji7][emoji7]
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maths pekee niliyo enjoy ni ya Primary.
Yalipoanza mambo domain, range na logarithms... Nikaiweka Maths pembeni
[emoji8][emoji8]nimerudi baby girlMy carba[emoji7][emoji7][emoji7]
You were missed[emoji173]
Wacha bhanaa[emoji8][emoji8]
Hii si ndo salamu yenu huko duniani?Ahsante Rafiki, huyu Jamhuri ndio nani huyu?
Tulishazoea kusalimiwa kwa Jina la Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi, na kila viijazavyo.
Sijambo Carba shkamoo.[emoji8][emoji8]nimerudi baby girl
Hujambo lakini?
[emoji2]Iyunga kuna Mikwaju na Miranda
Hii si ndo salamu yenu huko duniani?
Naomba lift[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana..sijawahi acha Maths nikiikwepa imejaa...baasi naishi nayoMaths pekee niliyo enjoy ni ya Primary.
Yalipoanza mambo domain, range na logarithms... Nikaiweka Maths pembeni
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dota huyu dogo hamjui babako, anataka nidai chochote! Hayuko serious kabisa[emoji23][emoji23]
Lazima mikwaju iwepo ,we watoto wa kiume tu na upande wa pili hakuna fensi,,si kuwatia majaribu watoto wa watu ili wawasulubu.[emoji2]
Marhabaa totoo[emoji4][emoji4]Sijambo Carba shkamoo.
Nani anakuficha jamani??
Nasubiri
Mimi nimeamua niwe nakumbuka za kujumlisha na kutoa tu ,nyingine za kutiana tu stress.[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana..sijawahi acha Maths nikiikwepa imejaa...baasi naishi nayo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji4]Marhabaa totoo[emoji4][emoji4]
Majukumu tu ndo yananificha
Eti katikati ya soko[emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa kweli hapo kichaa amepewa rungu tena katikati ya soko
[emoji847]
Hivi kd kaonekana kweli?nmem miss kwakweli[emoji4]
Usijifiche sana[emoji847]
Mimi na Kinh tunakumiss mno[emoji7]