Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Unabaki 'warapen mbona napelekeaga moto sana tu 😂
Wapiii kijana ndio ushachechemea
Unabaki 'warapen mbona napelekeaga moto sana tu 😂
Tutake radhi wana ileje.Huyu Masai arudi kusuka dada zetu tu shenz Sana katulaza na viatu leo hajui kupanga kikosi hata kocha wa ILEJE FC anaweza mshinda
Kitakachowauwa mwaka huu ni michezo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asernal ni kichwa cha wendawazimu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudadeq[emoji3]
Popote ulipo Eli79 ERoni una ofa yangu ya kitu chochote unachotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2018016
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wee ni jogoo team? Karibu jiji la Manchester [emoji7][emoji7][emoji7]Ni bure kabisa.
Tumejipigia tu tunavyotaka.
Manchester aka mazuzu fc[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wee ni jogoo team? Karibu jiji la Manchester [emoji7][emoji7][emoji7]
Amekuja kujiweka kinyonge sana lknUnabaki 'warapen mbona napelekeaga moto sana tu 😂
Wapiii kijana ndio ushachechemea
Jiachie na macho pia muda huu ni usiku ,hakuna watu wengi,tupo wawili tu MziguaSelfie za usikuView attachment 2018093
Mmhh labda hizo zingine ila Loleza haifikii Swila kwa mbokoSwila hakuna fimbo za kuogopesha mbona.
Top three ya fimbo ni Ivumwe,Itende na Loleza[emoji119]
Shule kama jehanam vile!
Uwata nao walikuwa moto,,kufukuzwa shule ni dakika sifuri tu.
Miaka hiyo hizo ndizo zilikuwa zinaongoza.Mmhh labda hizo zingine ila Loleza haifikii Swila kwa mboko
Eti chochote ninachotaka, Karma huyu ndugu yako niaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimdai chochote kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]Darmian kijana mdogo unashabikia mwanitesa utd, kwani unataka kupata presha???
Mchumba Jack Palladino unachokitafuta mwanitesa utakipata.
Liverpool babalao weweeeeh[emoji7]
Eli ERoni kwa mabao ya leo,nidai chochote unachotaka[emoji1787]View attachment 2018035
Yaani nidai chochote..Eti chochote ninachotaka, Karma huyu ndugu yako niaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimdai chochote kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mpira huo! [emoji39][emoji39]Yaani nidai chochote..
Tumemsulubisha Asenali dadeq[emoji1787]
Tumejipigia mabao ya kutosha hadi tukachoka.
Naona umeamua kuwa mtu wa kunirudha roho sasa😁Nipo hapo mkuuView attachment 2017678