Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Mmepigwa na kitu kizito sana 😂
Mmepigwa na kitu kizito sana 😂
[emoji35][emoji35][emoji35]Mmepigwa na kitu kizito sana [emoji23]
Yule jamaa sijui amechanja dawa gani.Mnamfukuza kocha au mmehairisha? [emoji23]
Mashabiki wa man U mnachekesha sana
Tutafute pesa mkuu[emoji38]Shkamoo pesa View attachment 2017901
Mama mchungaji [emoji23][emoji23]Chelsea leo wanajipigia tu mtu hukoView attachment 2017559
Kabisa mkuu acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaio hata differentiation ya trigonometric functions ulikua huenjoy?Nakumbuka tu sin X/cos x = Tanx
Trig ilipita kushoto kabisa...
Dahhhhh umenikumbusha mbali Sana Asante kwa picha mpaka nimetabasamu kupaona hapo mahala ,,Ila yule mzee alikua fala Sana nadhani hata post ya kufundisha pale alipata kisa ni kindaki ndaki wa CCM maana Ile shule Ina bendera mbili ya taifa na ya CCM [emoji23][emoji23][emoji23]billdrago hujamiss fimbo za Mwambene za getini?[emoji38]View attachment 2017710View attachment 2017711View attachment 2017714
Huyu Masai arudi kusuka dada zetu tu shenz Sana katulaza na viatu leo hajui kupanga kikosi hata kocha wa ILEJE FC anaweza mshinda
Zile ni shule za wazazi za CCM[emoji38]Dahhhhh umenikumbusha mbali Sana Asante kwa picha mpaka nimetabasamu kupaona hapo mahala ,,Ila yule mzee alikua fala Sana nadhani hata post ya kufundisha pale alipata kisa ni kindaki ndaki wa CCM maana Ile shule Ina bendera mbili ya taifa na ya CCM [emoji23][emoji23][emoji23]