Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Chagua chochote ,ofa ya wiki nzima hiiNdio mpira huo! [emoji39][emoji39]
Sema hapo kwenye kudai chochote, kuwa makini we mnyaki!
Liverpool baba lao[emoji3]
Chagua chochote ,ofa ya wiki nzima hiiNdio mpira huo! [emoji39][emoji39]
Sema hapo kwenye kudai chochote, kuwa makini we mnyaki!
Maths pekee niliyo enjoy ni ya Primary.Trigi raha [emoji2][emoji2]View attachment 2017809
Mkuu nilijaribu kukuchungulia sikukuonaNaona umeamua kuwa mtu wa kunirudha roho sasa[emoji16]
Mnapiga bomu mochwari halafu mnajisifu mmeua..aseno hamna kitu muleChagua chochote ,ofa ya wiki nzima hii
Liverpool baba lao[emoji3]
Ukasubiri vipi na ulikuwa kwenye usafiriMkuu nilijaribu kukuchungulia sikukuona
Nikasubiri labda utaona comment yangu huku,bahati mbaya haukuona ,,hadi muda wa kuondoka ukafika.
Mwanitesa ndio hakuna kitu SquareMnapiga bomu mochwari halafu mnajisifu mmeua..aseno hamna kitu mule
[emoji1]Nilishuka.Ukasubiri vipi na ulikuwa kwenye usafiri
Mtakatifu umenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji119]
Karibu tena siku nyingine
Haha hapa ni Sangu Sec? Hivi kuna shule huko mbeya inatandika wanafunzi mikwaju kama Swila Sec?
Swila hakuna fimbo za kuogopesha mbona.
Top three ya fimbo ni Ivumwe,Itende na Loleza[emoji119]
Shule kama jehanam vile!
Uwata nao walikuwa moto,,kufukuzwa shule ni dakika sifuri tu.
Sasa nikiachia na macho si ndo mtaona jisura mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]Jiachie na macho pia muda huu ni usiku ,hakuna watu wengi,tupo wawili tu Mzigua
Ilikua ndo lengo bana.Sasa nikiachia na macho si ndo mtaona jisura mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Lengo muone sura? Mbona natumaga mara kibao nakata machoIlikua ndo lengo bana.
Hivi huko shuleni tulisomaga mambo ya domain and range?Maths pekee niliyo enjoy ni ya Primary.
Yalipoanza mambo domain, range na logarithms... Nikaiweka Maths pembeni
Leo ndio mara ya kwanza naona yako,unashawishiLengo muone sura? Mbona natumaga mara kibao nakata macho
Mikanda kawaida yenu wana wa uboyzini[emoji1]Unaiacha wapi iyunga kule unakula hadi Mikanda toka kwa viongozi
Dota huyu dogo hamjui babako, anataka nidai chochote! Hayuko serious kabisa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pops mbona una kichwa kibovu lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaijua jiji la Manchester? Sio muungano wa Manchester,Manchester aka mazuzu fc[emoji3]
Nashabikia timu za kibabe dogo
YNWA[emoji7]
#LFCforlife
#Thereds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madirisha km shule fulan kongwe ya serikali, nlisoma hapo O level, mweeeehPool tableView attachment 2018091